Ninauwezo wa kuua mende, mjusi,chura,mbu,nzi na ndugu zao wengine wapendao joto la binadamu bila hata kutumia kifaa cha maangamizi. Nasema sipati shida kuhama (kama waifu hayupo) nyumba ikiwa tu kapita tandu au nyoka mlangoni na kazama ndani... Hongera kwa ujasiri huo...Anayenyanyua kichwa huyo ni hatari lwa sababu yeye anachojua ni vita tu. Hili ni yale makubwa mapole tu hayana neno. Nilitaka nilikate kichwa na koleo hapa lakini limechepuka balaa. Najua limo humu kwenye gereji. Ngoja niendelee kulisaka [emoji16][emoji16][emoji16]
To all those guys who usually turn back to look at a lady's Ass The day you will turn to Salt is coming
View attachment 898501
Hahahaha!!To all those guys who usually turn back to look at a lady's Ass The day you will turn to Salt is coming
View attachment 898501
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninauwezo wa kuua mende, mjusi,chura,mbu,nzi na ndugu zao wengine wapendao joto la binadamu bila hata kutumia kifaa cha maangamizi. Nasema sipati shida kuhama (kama waifu hayupo) nyumba ikiwa tu kapita tandu au nyoka mlangoni na kazama ndani... Hongera kwa ujasiri huo...
Huyu si Sukaina huniz muigizaji wa bongo movie?
The title deeds are under threat again [emoji16][emoji16][emoji16]To all those guys who usually turn back to look at a lady's Ass The day you will turn to Salt is coming
View attachment 898501
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Prof...Pale chuoni kwenu hawajakosea kukupa ukuu wa dipatimenti aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna nyoka wa kuogopa na wasio. Kama hili ni yale manene kabisa yasiyo na mikikimikiki. Sijui hata kama linaweza kunyanyua kichwa hili na kumgonga mtu. Kuna maboksi kadhaa hapa nimeyahamisha silioni. Nimeambiwa kuna dawa fulani hivi ukiweka nyoka ye yote lazima aondoke ndo naenda kuitafuta madukani. Mpaka kieleweke Ng'wanawane.Ninauwezo wa kuua mende, mjusi,chura,mbu,nzi na ndugu zao wengine wapendao joto la binadamu bila hata kutumia kifaa cha maangamizi. Nasema sipati shida kuhama (kama waifu hayupo) nyumba ikiwa tu kapita tandu au nyoka mlangoni na kazama ndani... Hongera kwa ujasiri huo...
😀😀😀😀😀 Usitaje kabila Num.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna bus walipanda jamaa watatu[emoji125][emoji125]bana eee sijataja kabila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakakaa siti ya watu watatu njiani wakanunua karanga hee si wanapekuchua maganda,wakaona shida kutupia dirishan wacha wajimilikishe ka dustbin(kawekwa mtu kati)wengine mkitaka kutupia uchafu humo mnamshtua wa pemben mnampa unachotaka kutupia anatupa humo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili tushajua. Anaongelea Wasukuma bro [emoji36][emoji36][emoji36]😀😀😀😀😀 Usitaje kabila Num.
The title deeds are under threat again [emoji16][emoji16][emoji16]
Kugeuka nguzo ya chumvi nini bana?
Nyoka sipatani nao kabisa.Na sina elimu ya kutofautisha nyoka ...Kuna nyoka wa kuogopa na wasio. Kama hili ni yale manene kabisa yasiyo na mikikimikiki. Sijui hata kama linaweza kunyanyua kichwa hili na kumgonga mtu. Kuna maboksi kadhaa hapa nimeyahamisha silioni. Nimeambiwa kuna dawa fulani hivi ukiweka nyoka ye yote lazima aondoke ndo naenda kuitafuta madukani. Mpaka kieleweke Ng'wanawane.
Kuhama nyumba mi aisee hapana. Pengine nikiambiwa SYB kazama ndani hapo nitagivapu lakini hawa wengine hapana aisee. Hata mende naonaga tu kinyaa jinsi walivyo lakini siyo ishu kivile japo ndotoni wakija huwa wananitesa.
hahahaah, hata mimi nilijua ni wasukuma.Wenye akili tushajua. Anaongelea Wasukuma bro [emoji36][emoji36][emoji36]
Mwenyezi Mungu awape pumziko la AmaniDuniani hapa tu wapitaji tu kwa kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 898224