Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Bro bana. Kwa nini unatumia id feki?
Chonga mafyekero bro acha mbwembwe...Halafu unamzukia binti mpole kiaina. You never know. Waweza shangaa paap huyu hapa Gold Crest [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
JF inaniruhusu bro, lakini si kwamba si fahamiki hapana.
πππππChonga mafyekero bro acha mbwembwe...Halafu unamzukia binti mpole kiaina. You never know. Waweza shangaa paap huyu hapa Gold Crest [emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja nitafute fyekero nikuibukie PMMmmh ya PM siri bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekusoma bro, ahsante sana.Fyekero = ID mpya hapa JF (mara nyingi ni kwa ajili ya kufanyia mambo ambayo huwezi kuyafanya kwa kutumia ID yako ya kawaida mf. Kukiri kuwa we ni memba wa CHAWAMITA, CHAPUTA; kutongoza mtu ambaye alishakukataa huko nyuma, kuporomosha povu, kujiwekea likes mwenyewe, kuanzisha thread za kifala fala n.k)
Ndio, ahsante.Nadhani ushajibiwa.
Najua bro. Siwezi kukuvunjia heshima kihivyo. Ni muvi hii ama?
Kuwaachia viumbe wapya nafasi broSad but true...na mpaka leo sijaelewa why?
Silalamikagi lakini vibuti vinasababisha malalamiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro banaChonga mafyekero bro acha mbwembwe...Halafu unamzukia binti mpole kiaina. You never know. Waweza shangaa paap huyu hapa Gold Crest [emoji16][emoji16][emoji16]
NakusubiriaaaaNgoja nitafute fyekero nikuibukie PM
Korean movieNdio ni muvi ya mashariki ya mbali
Kuwaachia viumbe wapya nafasi bro
πππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakusubiriaaaa
[emoji137][emoji137][emoji137]
Mkuu kama wengine wasipokufa tusinge toshaduh! kwani hatutoshei....