[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Prof dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Tena nyie waanaume ndo mnaongoza sana kwa mafyekero....Shauri yenu, VITAKATIKA!!Hivi nini kinawapelekea kuwa na ma fyekero, mimi kila siku nasema leo lazima nifungue fyekero lakini naona ni kujipa tabu tu napotezea
"Mizimu yake tu hainipendi"Kweli. Tumetoka mbali sana na sis wangu yule ila mimi nadhani ndiyo naongoza kuwekwa kwenye iginoa listi yake. Hata sijui huwa namkoseaga wapi dah. Likely ni yale matani yangu ya mara moja moja ya I touch new money everyday Masaki Peninsula is my home[emoji16][emoji16][emoji16]....
Au pengine mizimu yake tu hainipendi [emoji23][emoji23][emoji23]
"Mizimu yake tu hainipendi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ISIS
Jamaniiiiii!!!
WANAWAKE WA HUMU NISAIDIENI KUELEWA KWANINI APIGE PICHA HIVI View attachment 910972
Aseee, mbona ana sifa zote za kuwa ni ke!!!!Jike dume. Usipokuwa makini unabeba halafu mkifikishana gheto unakutana na mjurubeng tena wa haja. Hii dunia hii we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]View attachment 910981
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Nyamaaaa