Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Si ajabu ndiyo unagonga 19 au 20. Subirini mtakua tu msiwe na wasiwasi. Time flies. Nawaombea tu muwe na afya njema na Mungu Awajalie maisha marefu mje muwe wahenga nanyi mchekwe na vijana.NI MHENGA.
Amini Mungu yupo, jenga hofu juu yake, utakuwa unatenda yanayo mpendeza. Utajikwaa mara nyingi mno, simama na uungame,utasamehewa.Kumbe umr emeenda eeh,,,nakutaman sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mmewakosea nini, si povu hizo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm mwenyew nlshamstukia kwa zile tips za bettngAlitufunga kamba hiyo idadi ya watoto bro. Andaeitini huyo. Ila mimi simo lakini [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Umesoma shule za Lowasa, uhenga bado sana jubha ghwanghu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NI MHENGA.
Hata sijui tatizo liko wapi. Hata humu wamo...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mmewakosea nini, si povu hizo!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mambo ya Juma na Roza, kitambo sana hiyoKuna mmoja huko alikuwa anabisha eti hiki ni kitabu cha darasa la kwanza huko Kenya. Nimecheka sana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 915379
Amini Mungu yupo, jenga hofu juu yake, utakuwa unatenda yanayo mpendeza. Utajikwaa mara nyingi mno, simama na uungame,utasamehewa.
Jitahidi kujitengenezea furaha mpya kila siku kwa watu tofauti,ndani ya hiyo furaha utapata makwazo, jifunze kuyatatua kwa furaha. Utaishi bila magonjwa (buladi puresha, sitiresi, na mengineyo) ya hovyo hovyo
Pamoja na yote hayo, muda wako utakapo fika "hakika utakufa" tena kwa furaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Safari nyingine ukitaka kutandaza mkeka wasiliana naye kwanza. Utakavyomsumbua Kanjibai mpaka mwenyewe atakupigia simu kuapolojaizi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm mwenyew nlshamstukia kwa zile tips za bettng
Busara hizi maandaeitini choteni zitawasaidia sana..[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Amini Mungu yupo, jenga hofu juu yake, utakuwa unatenda yanayo mpendeza. Utajikwaa mara nyingi mno, simama na uungame,utasamehewa.
Jitahidi kujitengenezea furaha mpya kila siku kwa watu tofauti,ndani ya hiyo furaha utapata makwazo, jifunze kuyatatua kwa furaha. Utaishi bila magonjwa (buladi puresha, sitiresi, na mengineyo) ya hovyo hovyo
Pamoja na yote hayo, muda wako utakapo fika "hakika utakufa" tena kwa furaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmh, ungefungulia uzi nadhani kina Mshana Jr wangemwaga neno, sidhani kama hapa tulipo kuna mwenye ujuzi wa masuala hayo.HIVI NI KWANINI MTU AKIWA MGONJWA HALAFU BAHATI MBAYA IKATOKEA AKAANGUKA AKIWA MARIWATONI,,MTU HUYO KUPONA NI BAHATI NASIBU,,asilimia kubwa huwa wanapoteza maisha
Umeongea Bro,
....Oxford English course, havipatikani kabisa labda KenyaKitabu cha Juma na Roza?!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Mungu atusamehe Watanzania, wengi wetu hatuna tabia ya kujisomea.
Kitabu cha Juma na Roza, kilitungwa kwa mfumo wa kusoma kwa kuimba, kilikuwa kinasaidia kusoma kwa speed na kujenga kujiamini hata kama haujui kusoma lakini stori yote ya Juma na Roza inakuwa imeganda kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu navitafuta vitabu vya Kiingereza (cha Abdul/ language three) sivikumbuki vizuri majina yake
Kwa uzee wangu huu, kuna watu humu ndani ya uzi mna vipaji vya malezi, mkuu hongera sana... Unaenda vizuri na kijana wangu capitalpoolBusara hizi maandaeitini choteni zitawasaidia sana..[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tatizo mikeka yake anaitengenezea chobisi mwisho wa siku anakuja kulalama hapa.Safari nyingine ukitaka kutandaza mkeka wasiliana naye kwanza. Utakavyomsumbua Kanjibai mpaka mwenyewe atakupigia simu kuapolojaizi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mma ghwe!! Mimi nimesoma ensi za Mwinyi (In Nyakyusa's voice).Umesoma shule za Lowasa, uhenga bado sana jubha ghwanghu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]