Yanga dhidi ya Simba na dhidi ya KMC walikua Away katika uwanja wao wa nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]Umejaribu kukosoa ila hujaeleweka,timu zinatakiwa kusafiri mikoani kucheza mechi sio kila mechi dar tu eti kisa uwanja mbovu mara wanaogopa uchovu wa safari utawaharibia matokeo. Ndo maana kimataifa hawawiki. Unazi pembeni,kakosea takwimu ila kaongea point
Mkuu umeongea point.Majuu kwenyewe ata ukiangalia ligi daraja la tano unaenjoy ila njoo ligi kuu kwetu mechi ukute inachezwa huko Nangwanda sijaona au manungwi sijui utachoka
Hahaha! Vya mbio za farasiMkuu umeongea point.
Huku kwetu hatujawekeza kwenye mambo ya msingi ya mchezo wenyewe. Hatuna viwanja vya mpira vyenye hadhi, viwanja vingi havieleweki ni vya soka au vya mbio za farasi? Viwanja vina manyasi makubwa, vipara, mashimo, mabonde na milima nk. Katika hali kama hiyo huwezi kufurahia mchezo wa soka
Pamoja sanaAsante.
Asubuhi njema kiongoziUsiku mwema wapendwa, Mungu atulinde.
Amina, iwe njema kwetu sote, Mungu abariki kazi halali za mikono yetu.Asubuhi njema kiongozi
Safi bro, habari za hukoHabari za asubuhi ndugu???
Hope ni wazima huko mlipo,
Siku nyingine tena,,tukatafute mkate
Mungu alinde kazi za mikono yetu.
Salama mkuu..... Shukrani sanaHabari za asubuhi ndugu???
Hope ni wazima huko mlipo,
Siku nyingine tena,,tukatafute mkate
Mungu alinde kazi za mikono yetu.
Vituko vya soka pa bongo na wanazi wakeYanga dhidi ya Simba na dhidi ya KMC walikua Away katika uwanja wao wa nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kuna vitu vinanitatanisha sana kwenye soka letu, nikiangalia mpira huwa nashtushwa sana na ubora wa viwanja vyetu, huwa najiuliza ni ipi kazi ya kamati ya ufundi ya TFF. Najiuliza TFF inashindwa hata kukarabati pitch zinazotumika kwenye ligi yetu. Nawaza mpaka najikuta kujidharau mwenyeweHahaha! Vya mbio za farasi
Mkuu viwanja vyetu mvua ikinyesha wachezaji wanacheza kwa tahadhari kubwa sana wasije kuzama kwenye madimbwi yaliyopo uwanjani...
Mchezo ambao naona ungetutangaza wa Tz ni bondia na kitu cha ajabu huu mchezo haupewi kipaumbele kabisa...
AaminAmina, iwe njema kwetu sote, Mungu abariki kazi halali za mikono yetu.
[emoji16] Taratibu tutafikaVituko vya soka pa bongo na wanazi wake