Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nakuletea akaunti yake.
Kwa asilimia kubwa chanzo cha kifo cha wanaume ni wanawake... Halafu tunajionea poa tu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nakuletea akaunti yake.
Kwa asilimia kubwa chanzo cha kifo cha wanaume ni wanawake... Halafu tunajionea poa tu
Sijui huko kwenu, huku kwetu hali ni mbaya sana kuhusu wanaume. Kukuta 70+ ni nadra sana. Wengi wanaondoka hata kabla hawajafikisha 60. Vijiji vingi unakuta viajuza vijane vimejazana waume walishakufa muda mrefu. Hata sijui tatizo ni nini walahi...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Kwa mzigo kama wa huo binti hata nife sawa tu kwa kweli. Ai wili neva kompuleini [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji106][emoji106][emoji106]

{Karibu tembelea, subscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Kwa sehemu chache nilizo kaa/pita, wanaume wengi wanaokufa ni wale wenye kipato cha kati, muda mwingi anawaza kuongeza na kuimarisha kilichopo kisitoke. Mke anakuwa sio sehemu ya utafutaji wala umiliki, mwanaume kuwa na mahusiano mengi na wanawake wengine na kupelekea kuzaa nao. Mke akisha jua ndipo misuko suko inaibukia humo...
Kama ni masikini, haufi leo wala kesho, utadhani una ahadi ya kukutana na Yesu "live" siku ya ufufuo
 
Chelsea wanatarajiwa kuendelea mbeli na mpango wao wa kumsajili mshambuliaji wa Juventus Gonzalo Higuain, ambaye yuko kwa mkopo AC Milan, kufikia mwisho wa wiki hii. (Telegraph)
 
Meneja wa AC Milan Gennaro Gattuso amesema kuwa Higuain hajamwambia kuwa anataka kuondoka klabu hiyo. (Evening Standard)
 
Christian Eriksen, 26,huenda akatia saini mkataba mpya na Tottenham, wakati ambapo Real Madrid pia inapigiwa upatu kumsajili kiungo huyo wa kati raia wa Denmark. (AS)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…