Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kazi kweli kweli...

Na kwa watongozaji humu wana shida. Unaweza kutongoza mtu yule yule hata mara sita kumbe mwenyewe anakusanifu tu na mafyekero yake...[emoji16][emoji16][emoji16]

Wazee mninipa raha sana na story zenu hii jamii bila nyinyi inakuwa hainogi kabisa Mungu aendelee kuwapigania sana
Ni Mimi Cole Williams
 
Jana nimekwenda sokoni...vijana wapo wanajisemesha eti wanatafuta mwanamke mwenye pesa zake....gari, nyumba, mihela....ila kaz yao eti wamridhishe huyo mwanamke kitandani.....yaaan nilijikuta nacheka....wanaume nao wamekua wadangaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyuma vimekaza [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…