[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona vile,furahia maisha ndugu yangu.Naendelea vizuri Mimi na kababy nakunywa mitori nashushia na like [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalea jiran[emoji124][emoji124][emoji124]Nawe pia jirani....ulipata mtoto nawewe jirani? Au ulikua kwa Trump?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee wewe khaa!!Hongera sana BL, Mungu akampe afya njema Anko wangu na maisha marefu. Naamini mpaka mwaka 2021 uzi wetu bado utakuwepo nae atakuwa ameanza kukandamiza "milaiki" kwa niaba yako.
Hongera sana tena....
Kizushi tu ngoja nikaangalie post zako za mwaka jana mwezi Aprili mwishoni maana ilikuwa ni kipindi cha "kilimo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ilikuwa ni mwendo wa "parachichi" na konokono" jua lenu giza lenu... Hatimaye umevuna mama.
Kama hautajali, kwa upendo tu kwa Anko wangu, nionyeshe njia ya kumpitishia salamu yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shuaini zako in anko's voice hadi nimepaliwa hahahahhahaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo ni mazoezi ya mgongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo mama... Kilimooo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nipotee valentine hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo mama... Kilimooo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@ankoooooòo
Wewe si ndo yule wa kupotea wiki mbili kipindi cha valentine?[emoji23][emoji23][emoji23]safar hii itabidi niangalie nani atapotea sambamba na ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nipotee valentine hii
Interesting..SHERIA YA NDOA NA MAHARI No.123 Ya 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Makario bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
*No stories...*
KUNA WATU HAPO WAZAZI WAO WATAAMBULIA BUKU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sanaWadau wa uzi wa like nafurahi kuwataarifu usiku wa jumanne ya wiki iliyopita nilibarikiwa kupata mtoto wa kike kwa njia ya operation.
SHIMBA YA BUYENZE
moudgulf
Numbisa
myoyambendi
Bradha
capitalpool
ningendako
andjul
carbamazepine
hearly
Fragaria
ISIS
Atikinson
ho chi minh
Marvelous King
consuela
ninge?!!! Uji wake umeanza kutengeneza cream?Kilimo ni mazoezi ya mgongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nasubiri ningendako naye atushirikishe maana alisema ana"lima" shamba lake[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa maana alisisitiza kuwa ana"lima"ninge?!!! Uji wake umeanza kutengeneza cream?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakaepotea na mie ujue ni mlipa bill hapaWewe si ndo yule wa kupotea wiki mbili kipindi cha valentine?[emoji23][emoji23][emoji23]safar hii itabidi niangalie nani atapotea sambamba na ww
Sent using Jamii Forums mobile app