Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

....[emoji16][emoji16]Ndiyo maana kwa sasa wadada wengi wanalazimisha kuzimwa taa kabla hawajavua pichu zao.
Tunauziwa Mbuzi kwenye gunia.
SYB changia neno hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wanasema ndani ya wiki 2 tangu mimba iharibike mama anauwezo mkubwa sana wa kushika mimba.
Lakini yote haya yanatokea/yanategemea na haraka kiasi gani mama ataanza ku ovulate(kupevusha mayai).
Na wengi wao wanaanza kupevusha mayai katika mzunguko wao wa kwanza(baada ya mimba kuharibika).[hapa pia inategemea na mama alikuwa na mimba yenye umri gani,mimba inapokuwa ndogo chance ya kupevusha mayai haraka huongezeka].

Kiufupi inategemea na hormones za mama mwilini zinavyorudi haraka kipindi mimba ikiharibika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimba ikishaharibika na mama akasafishwa vizuri mlango wa kizazi huwa unafunga.
Endapo mlango wa kizazi ukashindwa kufunga mara nyingi kuna kuwa na mabaki(kondo la nyuma/placenta).

Mama kupata mimba yategemea kama anapevusha mayai ama laa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke Alexandra Shaposhnikova wa Urusi ambae aliiomba Mahakama isimfunge Mpenzi wake Oleg Myshadaev mwaka 2017 baada ya kumpiga na kuharibu pua yake, ameuawa kwa kuchomwa kisu na kupigwa nyundo, na Mpenzi wake huyo
Aise.
Huyo Oleg huenda ni nusu jini.
Jitu linakosa hata utu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…