Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hii TRM ni nini hivi?[emoji85][emoji85]
TRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni Carba. Mfuasi mkuu ni Ninge. Memba wengine ni Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

SIWAPENDI
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ahsante kwa ufafanuzi, ukiona nimejiunga nao wewe ujue tuu maendeleo hayana chama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante kwa ufafanuzi, ukiona nimejiunga nao wewe ujue tuu maendeleo hayana chama [emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaniiii !!!

Hata wewe bro? Nitalia usiku kucha indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…