Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BEKI wa kati wa Chelsea, David Luiz amesema ametumia muda mwingi kumwambia kipa, Kepa Arrizabalaga aheshimu uamuzi wa kocha akubali kutoka alipofanyiwa mabadiliko wakati wa fainali ya Kombe la Ligi juzi Jumapili, lakini aligoma.
 
Kwenye mechi hiyo Chelsea ilipomenyana na Manchester City na kufungwa kwa penalti 4-3, Arrizabalaga aligoma kutoka alipofanyiwa mabadiliko na hivyo kuanzisha kizaazaa dhidi ya Kocha Maurizio Sarri ikionekana kwamba jambo hilo ni kukosa nidhamu kwa kiasi kikubwa.
 
Tuko poa kabsa,habar ya kwako muasisi wa TRM[emoji2][emoji2][emoji2]

Tumepata mwanachama mpya Bradha tayali,inabd umkabidhi fomu ya kujiunga[emoji2][emoji2][emoji2]
Mie ndo kiongozi nisiyejielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie niko poa sana kama unavyoniona hapo[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luiz alisema: β€œNilimwambia aheshimu uamuzi wa kocha.”

Hata hivyo, hilo halikuwa kabisa kwenye akili ya kipa huyo ambapo aliendelea kubaki uwanjani na kushindwa kuisaidia timu yake kwenye mikwaju ya penalti.
 
Kepa mwenyewe alisema kwamba kugoma kutoka uwanjani halikuwa jambo la makusudi kwa maana ya kumdharau kocha, la yeye alijiona bado ana nguvu ya kuisaidia timu yake kwenye mechi hiyo licha ya kuhitaji huduma ya daktari wa timu mara mbili tofauti alipoumia mchezoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…