Mmh fullu kupenda kudekezwa! mshazoea kuwa taken care ofMna matatizo sana. Raha yote kwetu ma last born bana...
Eti na yeye anakemea utapeli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yap,,nililizwa,bt jamaa nilijua amenizima nikampotezea kuna siku nikamkuta kwenye lile jukwaa alikotangazia biashara yake,,nikamwambia hlo bando bado lipo njian,,kumbe kuna raia pia walishamsoma,ilibd apige kimya huwa namuona nyuz mbalmbal na yy anakemea utapel wa humu,,
Nilishajifunza bro,asante
Ukistajabu ya Musa ya Filauni hutayaona
Indeed broIf something sounds too good to be true, probably it is....
Ili akuache Golden Crest? Ukisubiri PatiMi simo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Heh,,tapeli ni tapeli tuJameniii.. humu atutrasti tu! hamna tapeli wa fweza... labda wa mapenzi
Mzima tunashukuru
[emoji16][emoji16][emoji16]Njia bora ya kuzuia virusi kwenye kompyuta
Hahahaha
U last born raha sana indeed wallahi...Mmh fullu kuoenda kudekezwa! mshazoea kuwa taken care of
Nzuti tu.. Weekend inaendaje?
Hahaha hao matapeli huwa hawaanzishiwi nyuzi.. wa kila mtu yuko singo..is loaded...and the right ageHeh,,tapeli ni tapeli tu
Usinikumbushe Gold Crest please...[emoji16][emoji16][emoji16]Ili akuache Golden Crest? Ukisubiri Pati
Si useme masikolo tu ieleweke...Hahahaha
Ni missedcall na sio misikolo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Usinikumbushe Gold Crest please...[emoji16][emoji16][emoji16]
Salama kabsa bro,
Ukizubaa unalizwa tu enewhea...Jameniii.. humu atutrasti tu! hamna tapeli wa fweza... labda wa mapenzi
Anaona noma kutaja amaunti..