Ofa eee ya nini?π¦π¦π¦π¦Wakuu leo Simba ikishinda natoa ofaaaaaaa ππ
Tukutane dar live mbagara ππππOfa eee ya nini?
Utamjuaje sasa? Hapa tungefahamiana mbona ingekuwa mtafutano??Kweli wapi? Awepo wa hivi hapa mbona tungemgombania kama mpira wa kona? [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu wapo nimebahatika kukutana na watatu aiseee vyombo hatari JF ina mademu bomba sana sijajuta kukutana nao Dollar zangu zimeenda kihalali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Sawa bro....
Ila kweli wakali wa hivi wapo kweli hapa JF?
Dunia simama nishuke...
Mkuu wapo nimebahatika kukutana na watatu aiseee vyombo hatari JF ina mademu bomba sana sijajuta kukutana nao Dollar zangu zimeenda kihalali
π€£π€£π€£π€£Ngoja tushinde kwanza ila leo mnyama anaenda kuliamsha dude πΊπΊπΊπΊπΊ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh
Unaweka uzio - electrified...na walinzi juu...Unalima shamba la miwa karibu na shule ya msingi
Kumbe uzi wetu una mabinti wazuri na warembo sana!!Tangu jana namuangalia sana. Kama yupo kwenye uzi huu basi beba jumla bro. Weka ndani huyu. Shi izi supa gojazi [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Hongera mkuu.Mkuu wapo nimebahatika kukutana na watatu aiseee vyombo hatari JF ina mademu bomba sana sijajuta kukutana nao Dollar zangu zimeenda kihalali
Hahaha, lazima aangushwe mmoja waoA confrontation...
View attachment 1070439
Vita ya DuniaFour against one?...
View attachment 1070429
Hivi humu mnajua kwa picha oooh ππππhatariKumbe uzi wetu una mabinti wazuri na warembo sana!!
Utani mwingi unanikosesha mambo mazuri kwa kweli.
Kuna kakijana humu kapole kapole hivi ila matata sana... Sitashangaa siku moja humu kakija kututangazia ujio wa...
Ila mitoto ya humu mizuri jamani, huyu mtoto wa kipwani Fragaria ni fire... Kwa mabinti zangu Numbisa na Carba maadili yananibana, baba hatakiwi kuusifia kwa tamaa uzao wake... Lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa yuu ankoo