SawaTRM wenzio huwa wanajificha ficha angalau. You are bold. Wakupe ukatibu mkuu wa TRM aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaaa kavunja rekodi ila bana mengi wasu wanasingiziwa tuNadhani fahari yao ni ile kuona mapembe marefu na ile sauti ya mavyuma wanayo wavalisha shingoni... Sema wale ni ndugu zangu wa damu, nawapenda sana, siwezi kuwatania hata siku moja kwa kweli.Hii kauli ya huyu memba kidogo nizimie kwa hasira... View attachment 1070505
OGS MUPassion4profession
Acha kabisa Numbisa atakufa na kijiba cha roho
Tatizo hawarudishagi mrejesho.Simba leo Ikimfunga TP Mazembe Naponda ponda Mapumbu yangu kwa Nyundo
Ahadi yangu ipo pale pale kama nlivyotoa week iliyopita. Ikiwa simba leo itashinda nitaponda ponda Mapumbu yangu kwa nyundo mpaka yawe uji uji halafu niyakojoe.www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msukuma mshamba ni mimi Hawachi. Andjul ni Mnyakyusa wa Mwakaleli. Nao huwa wanataniwa taniwa kuwa wana kaushamba shamba fulani hivi japo kwa Wasukuma hata robo hawafikii. Ukiona picha za ajabu ajabu humu na matani dhidi ya Wasukuma basi jua mlengwa mkuu ni mimi. Hata TRM iliundwa ili kuniabuse mimi.Wew ni Msukuma mshamba mkuu
Salama kabisa mkuu, nilikuwa kwenu huko maeneo ya area D nimegeuza Jumanne, haukuwa hewani mkuu, nipo kwenye mji wa kijana wetu mpendwa. Kama utaenda huko nijulishe, kuna kijana wetu yupo huko, kama ataridhia nitawakutanishaMkuu mambo vipi habari za masiku tele wiki mbili zijazo nakuja mkuu kanda yenu nitakucheki tupate mambo yetu vitu vikali
Baridi ya huko blanketi chapa mtu linahusika tayarisha Toto moya matata hivi
HahahahaMashabiki wa MU watakugombania sasa hivi. Bi keafuuu
Hatunywi sumu .. hatujinyongii...🎵🎶Ushindiii leo lazima wachawi wameze chupa 🏋️♀️🏋️♀️🏋️♀️💪💪💪💪💪
Hahahaha mkuu mkuu umeepaYawezekana. Mambo ni mengi muda ni muchache [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wew ni Msukuma mshamba mkuu
Enhe hilo kono unalifanyaje tena?
Msala huo [emoji16][emoji16][emoji16]