Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pasha moto olive oil kisha changanya vyote kwa pamoja pakaa kwenye nywele acha kwa muda wa dakika 20 kisha osha nywele zako na upakae mafuta zikishakauka.

Ninashauri utumie mafuta haya kwenye nywele na ngozi ni mazuri sana. Ukiwa na mba pakaa kwenye ngozi mba itaisha na muwasho utaondoka.
 
Nimeona Uzi hapo, ulipata post 8 ukafutwa.
Kuna mdada ameweka bango la kuuza mwili wake kwa bei poa[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mbona kawaida tu kwenye magroup ya Whatsapp, Badoo, IG na kwingineko. Machangudoa siku hizi siyo lazima wasimame barabarani na kwenye mabaa. Ni dunia ya kidijitali...
 
Shemeji siku hizi nipo upande wako kukutetea, nachukia sana nikiona wasuku wanataniwa...
Nimechenji sana aisee.
Kuna sehemu huko nimekuta mtu ameitupia hiyo picha hapo chini halafu akawa anaongea yake, nimemfokea sana. Nikaamua kuifuta kwake, ajabu nikaikuta kwangu, nikajisemea tu "asavali umekuja kwangu, mimi ni shemeji yenu" basi.
Naomba tushirikiane shemeji [emoji120][emoji120][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nyusi
Kuna tabia ya wanawake kunyoa nyusi zao sana, na wengine kuzitoa kabisa. Alafu, wanaishia kuzichora na rangi nyeusi.
Hii inamfanya mwanamke kuonekana kama kikatuni.
Sasa:
Badala ya kunyoa nywele zote, zipunguze kwa kiasi kidogo
Usituimie rangi nyeusi kuzijaza. Tumia rangi ya brauni
Kwa muonekano wa kiasili zaidi, tumia nyusi, poda ya nyusi au gel badala ya penseli.
 
Hahahahahhaa aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…