Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nchi ilikuwa inahitaji mtu kusimama imara ili kulinda katiba ambayo imedharauliwa sana awamu hii. Na ndiyo sababu Watanzania wengi tukaamua kusimama upande wake na hata kusign petition ili kupinga uharamia wa Bunge dhidi ya CAG Assad lakini hawa wahuni huwa hawakubali kushindwa. Ngoja tusikie hiyo kesho huyo ndugai atasema nini.

Anajiamini sana bravo CAG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…