capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kijana mpole,leo upo upande gani?man u au barca?Rama Dee -Kipenda roho
Asiione cole hii[emoji125][emoji125]Hahaha kocha karudia rudia hilo neno duh
Kijana mpole,leo upo upande gani?man u au barca?
La Casa De Papel (Money Heist),,ipo njema sana hii bro,,akili kubwa zimetumika za huyo ProfHii ipi bro
Kuna ubuyu ?
Nataman na leo wakagonge kwa bombadia[emoji23][emoji23]
Asiione cole hii[emoji125][emoji125]
Hahaha kuna El Classico moja hv,,nafikili ilikuwa ya 2017..Barcelona alishinda 3-2..Messi akifunga goli dakika za majeruhi,,Messi alitoka uwanjan utadhan alikuwa vitani na mnyama mkali,,pua lote linavuja damu,,aiseeNataman na leo wakagonge kwa bombadia[emoji23][emoji23]
Asiione cole hii[emoji125][emoji125]
La Casa De Papel (Money Heist),,ipo njema sana hii bro,,akili kubwa zimetumika za huyo Prof
Mkuu kwenye hilo jukwaa la wanene wembamba kama mimi tunafikaje huko ? Nisaidie ndugu yangu labda kuna vinono huko ili nami ninenepeNa pia mbona nimepost links kama ile kwa kipindi kirefu tu kule jukwaa la wanene bila matatizo yoyote?
Alipo CR7 nipoooo,huko ajax simfahamu mchezaji hata mmojaNipo United Leo wewe Ajax na Juventus upo wapi