Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kuna faili moja la siri limenifikia hapa katika ofisi zetu za CHACHAWA linatilia shaka sana ugumu wako. Itabidi niitishe mkutano wa dharura kwa bodi nzima ili tukuondoe kwenye uenyekiti wa hiki chama chetu kitukufu [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo ametupiwa hapo amekwama, anasubiri msaadaHatari sana, halafu yule bwana anajiamini sana pale...hajui alitendalo
Republicans masikini huwa wanamsingizia huyu mama eti ni transgender. Ukienda huko Breitbart.com utakuta wamempachika jina la Big Mike na mahillbillies kabisa yanaapa kuwa eti yana uhakika. Duniani hapa hata uweje lazima tu utakuwa na haters...But she is stronger than ever na mwaka jana akawa woman of the year [emoji122][emoji122][emoji122]Mashaallah View attachment 1082917
🤣🤣🤣Ameshindwa
Ukatibu Mkuu nani alinitoa? Mbona bado naendesha chama kama kawaida tu? Nimegundua the hard way kuwa kuna faida nyingi za kuwa mgumu kuliko hasara. I am in foreva [emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]Hivi wewe bado ni mwanachama? [emoji23][emoji23][emoji23]... Nadhani kile chama nimebaki mwenyewe tu, mimi ndie Mwenyekiti na Mjumbe mumo Kwa mumo aisee!
Republicans masikini huwa wanamsingizia huyu mama eti ni transgender. Ukienda huko Breitbart.com utakuta wamempachika jina la Big Mike na mahillbillies kabisa yanaapa kuwa eti yana uhakika. Duniani hapa hata uweje lazima tu utakuwa na haters...But she is stronger than ever na mwaka jana akawa woman of the year [emoji122][emoji122][emoji122]
Unaweza kutoa angalau kaufafanuzi ka juu juu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameshindwa
Huyu jamaa alijitesa sana.
Ahaa, nilidhani amepanda kuangalia bcoz upande wa pili(nyuma yake) niliona kama daraja halijavunjika...Huyo ametupiwa hapo amekwama, anasubiri msaada
Naendaga Breitbart mara moja moja. Huwa nasikitika sana kwa sababu hao hao ndiyo eti wanajiita Evangelical Christians. Walokole wa Marekani. Na mafungu ya Biblia wanakwoti. Lakini chuki waliyonayo dhidi ya wahamiaji, weusi na democrats aisee ni ya kutisha. Na jamaa wa jumba jeupe ndiyo shujaa wao na wanaamini kabisa kuwa ameteuliwa na Mungu ili kutimiza unabii uliobakia ili kuharakisha kurudi kwa Yesu. Halafu wanashangaa kwa nini pamoja na utitiri wa makanisa Marekani Ukristo wa kweli unadidimia na watu wanaitafuta kweli kwingine.Ukishakuwa mpenzi wa yule jamaa wa jumba jeupe, akili yako lazima iwe imekuwa tenge kidogo! [emoji23][emoji23]
Ahhh..Barbados! [emoji23][emoji23]
Hahahahaha samahani jirani, ila jana nilisikia kuna rafiki mmoja alikuwa na mpango wa kukutembelea akiwa na mzigo wa maua [emoji16][emoji16] hilo limenipa shaka kidogo [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Jirani, mimi na wewe tena? Tafadhali Shekhe, ugumu wangu hautenguliwi! [emoji1][emoji1]
Ukatibu Mkuu nani alinitoa? Mbona bado naendesha chama kama kawaida tu? Nimegundua the hard way kuwa kuna faida nyingi za kuwa mgumu kuliko hasara. I am in foreva [emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]
Mzima Hawa?Naomba like
Sad, sema ndio ikolojia sasa.Ndoto zake zimezimwa.Kwa vile huyu jamaa hatafunagi, si ajabu kaliishia kumegwa mafungu mawili tu na kumezwa...nature...
View attachment 1082928