Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahaa, nilidhani amepanda kuangalia bcoz upande wa pili(nyuma yake) niliona kama daraja halijavunjika...
Kukitokea mafuriko unaweza jikuta upo juu ya gogo linalosombwa na maji, baada ya mwendo furani ndani ya maji ukajikuta kwenye kijisiwa, mti, nchi kavu au mahali kama hapo.
Ukajikuta huna ujanja mpaka waokozi wapite eneo hilo
 
Nipeni kadi kwenye chama hicho, lakini iwe kimya kimya sipendagi kujaribiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
HATUA YA PILI; JIHADHARI NA VITU VINAVYOIBUA HISIA NDANI YAKO.

Tunapofanya maamuzi kwa hisia, huwa haitokei tu tukawa tumefanya maamuzi hayo, bali kumekuwa na vichocheo ambavyo vinaibua hisia ndani yetu na kupelekea sisi kufanya maamuzi kwa hisia hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…