Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mngenifungi city mngekuwa wa maana sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hufai bora mie nafaa kabisa. Nikamata usikani anayeleta za kuleta tunaingia vitani
Wewe utakuwa dikteta kuliko hata Poti. Tunapigania demokrasia na uhuru hata wa kulainika kidogo ikibidi. Siyo mwenyekiti kila siku anapuyanga na lori la maua na kontena la red wine, maviatu yale na magauni halafu mkimsema oooh mimi mgumu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…