Hapana huyu ni mtu wa huko huko Bara broLazima mwanaume wa Dar...
[emoji23][emoji23]kumbe buraza upo nikadhan offlineTaratibu binti mpole😀😀
Nikaribishe basi nije kwako?
Eti nae mgumu na card ya uanachama anayoJamaa anahadaa halaiki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089]
Bado mkuu hila changamoto kwa mama yao imekuwa kubwa sana naomba Mungu tu ajifungue salamaNi kweli. Nilikuwa nakuaminia sana. Vipi vimalaika vyetu tayari?
Dah !!!Jamaa anahadaa halaiki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089]
Hahahaha haya bhanaNilikuwa natafuta WWIII kati ya timu Messi na timu CR7. Ila timu CR7 wamepotezea kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeiona hii inazunguka. Kama ni kweli basi Mungu Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shida mkuu inakuja nabii gani wa ukweli wa kumsikiliza wengi ndio wanakwenda GhanaView attachment 1083300
Alikuwa mmoja wa viungo mahiri sana namkubali kwa kweliNedved naye ni mashine nyingine ambayo haikucheza EPL pamoja na kuwa Chelsea ilionyesha nia ya kumsajili 2006, lakini kiungo huyo aligoma kwa kutaka kuendelea kusalia Juventus.
Mchawi mwingine huyuANDREA PIRLO
Andrea Pirlo ni miongoni mwa viungo bora kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia. Alikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa la Italia kilichochukua ubingwa wa kombe la dunia 2006 kwenye ardhi ya Ujerumani.
Alianza kucheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Brescia ambako alishinda huko taji la Serie B . Alihama kwenda Inter Milan, aliposhindwa kupata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza alirejeshwa kwenye timu yake ya zamani kwa mkopo.
Lakini naona anakanushaBana bana ulipitwa huyu broo acha kabisa hahahaah
Leo ntaokota hela, nimefika tuu nikakuta mnanisema😀[emoji23][emoji23]kumbe buraza upo nikadhan offline
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Lakini naona anakanusha
Davet popote ulipo embu nipe hiyo skendo ya SYB
Xavi ,IniestaXavi aliwahi kubainisha kuwa kocha wa zamani wa Manchester United, Louis van Gaal, 2014 alionyesha nia ya kumsajili lakini aliamua kuongeza mkataba wa kuendelea kuichezea FC Barcelona kwa hiyo maestro huyo aliukwepa mtego wa EPL.
Kufurahisha baraza na kukera watu hasa watoto wa kishua. No big deal kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Wewe hapo na ile miscania ni shida
MashallahAkina nani hao?
Unamuongelea VE wa watu ama?
Misambwax kwangu siyo dili kihivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1083299
Amen.Bado mkuu hila changamoto kwa mama yao imekuwa kubwa sana naomba Mungu tu ajifungue salama
Sijambo Kaka....shikamooBinti hujambo
Habari za jumapili