Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😂😂😂Nakuona! Watakuelewa tu
Haya ni noma. Yamekula panya yakawamaliza. Sungura yamefyeka. Mbweha yanabugia. Mbwa...Ndege wakubwa...Kwa ujumla kila kitu kinacholika menyewe yanameza tu. Eneo lenyewe linaitwa Everglades na ni hifadhi ya taifa. Ni eneo lenye majimaji mengi na lenye utajiri mkubwa wa wanyama wa kila aina. Sasa yenyewe yanataka kubakia pekee...
Kama una mitego mizuri nenda aisee. Utapiga hela balaa [emoji16][emoji16]
umenikumbusha hadithi ya chairman mao tse tung alipoanzisha kampeni ya kuwaua ndege aina ya sparrow mnamo mwaka 1958.
pumbavu zake alisababisha envoronmental calamities nchini china, chezea food chain
unaambiwa baada ya miaka mitatu ya kampeni hiyo inakadiriwa watu millioni 45 walifariki kwa matatizo mbali mbali ikiwemo njaa.
wale ndege waliuawa na ni kweli walikuwa wanakula sana nafaka kama kawaida lakini walileta faida ya kuwaua viwaviwavi wanaoshambulia msosi pamoja na wadudu wengine
walipoondoka ndege viwaviwavi wakavamia msosi, balaa likaanzia hapo, ubaya wa viwavi wanakula mpaka majani ya miti midogo
View attachment 1110201
In 1958 Mao Zedong ordered all the sparrows to be killed because they ate too much grain. This caused one of the worst environmental disasters in history
The Great Sparrow Campaign Was the Start of the Greatest Mass Starvation in History
In 1958, Mao Zedong ordered all sparrows to be killed. As a direct result, millions of people starved to death.www.mnn.com
Umefungulia leo
Bado nipo nipo sana..There is no way nichanganye madesa or may be hujanielewa tu.
Ni sawa kutoa mahari, ni sawa pia kujibu kila swali la msingi kukuhusu hasa kutoka kwa jamii yako ama familia. Mf. "Unaoa lini" ni swali la msingi sana!
Ni muhimu kutoa majibu kwa maswali ya msingi!
HahahaHii skrinishoti umeipiga na aifoni? Vere pua kwoliti dah...
Mambo yote baba lao TECNO bana [emoji123][emoji123][emoji123]
mkuu hao kunguru wa zanzibar ni shidaa, unaambiwa wanapokuwa na njaa hata ukianika nguo yako ya ndani(chupi) wanaivamia wakidhani msosi 😛😛😛
nawaonea huruma sana wanaofuga vifaranga vya kuku halafu wanawatoa nje.
wana usenge ukipita kwenye miti wanayoishi wanakuangushia kinyesi.Kunguru wa Zanzibar ni wezi, Kunguru hawa mbali ya kula mizoga, lakini pia huiba nyama, samaki na aina nyingine ya vyakula vilivyohifadhiwa vibaya.
Kunguru hawa pia huangusha uchafu maeneo yaliyosafishwa nk
Davet misosi yako nakuja kuilaiki jioni unanijaza mate tu!