Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini fomesheni nyingine anayotaka kutumia ni ya 3-5-2, ambayo Kane hatakuwapo kwenye kikosi cha kwanza na Moura na Son watasimama mbele kwenye sehemu ya kushambulia huku Kieran Trippier na Danny Rose wakitumika kama mawing-back na Davinson Sanchez, Jan Vertonghen na Toby Alderweireld kwenye beki ya kati.
 
Wanyama, Eric Dier na Harry Winks ni wachezaji wengine wanaompasua kichwa Kocha Pochettino katika kutambua kete yake gani ya kuanza nayo ili kumteketeza Klopp katika fainali hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kutwaa taji la kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…