Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Performance zake hazina kukurukakara na mikikimikiki mingi kama za akina Cardi B. Na anaperform kwenye Casino moja tu huko Las Vegas hivyo watakuwa walishamzoea.celine dion amechoka
dah umri haudanganyi, hivi bado anaweza kufanya live performance za ukweli kama mwanzoni.
Mwambie Esta mwanamke mwenzio akufafanulieTafadhali niambie jibu [emoji848]
Kwema Bro habari gani pande hizo
Sawa yakinyonge mnoMwambie Esta mwanamke mwenzio akufafanulie
Unaumwa ndugu yangu??nini tatzoShukrani kwa kujali [emoji120][emoji120]
Timu ya Koromije hii au wapi?View attachment 1114460
Asno Mupo
Yaani unajitokeza mda huu kweli babaUnaumwa ndugu yangu??nini tatzo
Hii ukiweka kwenye chai ni nzuri mno
Nashukuru sanaTunamshukuru Mungu inaendelea vizuri.Kila la kheri huko.
Upumzike bana.
Jmos imeniweka busy leo, ila imeisha salama.Salama mpendwa vipi jumamosi yaendaje?
Salama bro,namshukuru Mungu
Pole na majukumu na karbu tena.