Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wazungu wanapenda kuweka rekodi ana followers 1.4 m now
 
Hapa huwa napata tabu sana.
Mmoja miongoni mwa hawa manabii alifumaniwa na mke wa muumini wake mmoja ambaye ni mwanasheria maarufu jijini Dar es salaam.
Mwanasheria huyu ambaye pia alikuwa mfadhari wa kanisa na watumishi wa kanisa akiwemo nabii mwenyewe, akifungua mashtaka kurudishiwa ardhi yake aliyoitoa kwa Nabii/ Askofu aliyemfumania na mkewe. Hata hivyo kashfa hii haikuwatikisa waumini wake, watu wanaendelea kumuamini.
 
Hii yote kwa ajili ya kuchapiwa tu
 
Hahahaha kweli kabisa hila mkuu uliangalia fainali ya CAF champion league
 
sijasoma tarehe jamani

Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi amejibu baadhi ya hoja za watu wanaopendekeza muundo wa serikali mbili na kusema Serikali ya Zanzibar ndiyo iliyoanza kutaka serikali tatu mwaka 1984."

Aidha, amewashangaa wanaolibeza jina la Tanganyika kutumika serikalini kwa madai kuwa jina hilo siyo haramu kwa kuwa limo ndani ya Katiba ya sasa.

Alisema kuwa wakati huo madai ya serikali tatu yalitolewa na Zanzibar na kusimamiwa na Rais aliyekuwa pia Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaji Aboud Jumbe.

"Hoja ilipelekwa pia kwenye Baraza la Wawakilishi, Brigedia Mstaafu Ramadhan Haji Fakhi (aliyekuwa Waziri Kiongozi), alikuwa akiongea kwa sauti nzito, kama ulikuwa ukimsikiliza, unasema muungano haupo," alisema Profesa Kabudi na kueleza kuwa Fakhi alisema: "Zanzibar siyo koloni la Tanganyika."

Alikuwa akichangia hotuba katika Kongamano la Kujadili Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika mjini Zanzibar jana. Alieleza kwamba mjadala wa sasa wa muungano siyo mkali kama uliokuwepo mwaka 1983 na 1984.
Hata hivyo, hotuba hiyo ya Profesa Kabudi iliyokuwa ikirushwa moja kwa moja na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1) ilikatishwa kabla mzungumzaji kumaliza hotuba yake.

Katika maelezo yake, Profesa Kabudi ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisema kuwa Fakhi alikuwa haongei kama mtu baki, bali aliagizwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
 
hakuna dhambi kwa nabii kula chakula cha mfuasi wake.
 
Tutapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…