capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Yaan huyu kijana tukisema tumpumzishe anaibuka na mapya aiseee[emoji23][emoji23]Aione Numbisa na SHIMBA YA BUYENZE
Me na mabinti dam dam
Aaah vinaendana kopiraiti na vya samaki pia ngosha the don ni kijana kijana wala si mubaba kivile.Ndiyo chenyewe....
Ila hakifikii vile vidole vitakatifu mlivyovipata kwa njia ya udanganyifu mpaka mkaonyeshwa [emoji16][emoji16][emoji16]
“Leo hii ukienda kwenye mabenki, kila kitu kimeshuka. Personal lending, mwaka 2015 ilikuwa 25.5%, leo ni 8%. Trade 2015 ilifika 24.6%, leo ni 9%. Manufacturing ilikuwa 30% leo ni 3% na hakuna anayesema. Mwenyekiti, mambo hayapo sahihi”- Peter Serukamba (Mb), CCM