mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaPoa sana aisee nilikuwa na mialiko jana na leo ya mapochopocho ya kila aina. Waalikwa tulikula na kusaza. Nikawekewa pilau, biriyani na chapati za kubeba [emoji12]hivyo ni mwendo wa kupasha moto tu for the next few days kabla sijarudi kwenye ugali wangu.
Nipo kitaa tayari habari za asbh broGood night Mkuu sleep tight and sweet dreams tomorrow is another day. [emoji1417][emoji1423]
HahahahaHilo jimbo halina usalama, maisha ya kuwindana.
Sheria hiyo ikiletwa kwetu Temeke tutafaidi kuwalipua vimbelembele kwa kisingizio kama hicho[emoji41][emoji41][emoji41]
Gongs likes twende pamojaAseeee, mnihurumie, nimechoka kubofya likes hapa.
Khaaaaaa
Hahahahaa unashinda unakunywa maji tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kiporo cha pilau mchezo unachoka hata kucheka
Hatari sanaUmiliki wa bunduki ni haki ya kikatiba kwa kila raia. Japo sheria za matumizi zinatofautiana kutoka jimbo moja kwenda jingine lakini uhalali wa kumiliki bunduki ni kwa kila Mmarekani isipokuwa pengine wale ambao wameshawahi kufungwa jela na wenye ishu za matatizo ya akili japo napo hakuna anayefuatilia sana. Kimsingi ukikorofishana na mtu barabarani assume kuwa ana bunduki na ujiandae kwa lolote !!!
Tanzania italeta kizungumkuti balaa watu wanahusuda balaaHapo unapokutana na mtu mtata ndiyo penye tatizo.
Hapa Tanzania kuna wakati mpaka polisi walionekana nao kuwa na bunduki kwa muda mwingi ni tatizo kutokana na matukio kadhaa, vipi kwa raia.
Mzee wa server hifadhi hiiConsuela wangu huyo!