Huko nilikua sielewi maana ya kuwahi nashtukia mbioooo,hio siku mpaka aliyewahi akazira na kufuta post yake,cha ubishi akashinda maana post yake ilikua inafuatia ile iliyopata ubingwaNakumbuka mwanzoni pale post sijui ya ngapi watu mpaka waligombana humu na kutuhumiana ku-cheat....
Hahaha hiyo hashtag[emoji119][emoji119]Mwenzangu huku igombe vipo vya kutosha
#achakukariribasihahahaha
Haya majina ya akina Amber haya si ya kuwapa watoto aisee [emoji16][emoji16]ina maana hii jamii ya amber imeletwa duniani kwa dhumuni la kufurahisha wazee wa nirushie pm.
amber rutty
amber lulu
amber rose
amber kim kardashian
amber sepetu
amber kugawa
amber bure ghali
View attachment 1155220
baadhi ya nyakati ni bora unyimwe akili za juu ya kiwiliwili kuliko kunyimwa akili za katikati ya kiwiliwili
Kumbe unakumbuka. Ilikuwa bifu kali na nadhani kuanzia hapo ndo akaanza kupunguza na hatimaye kuachana kabisa na uzi huu; akajikita katika siasa zaidi...Ai
Huko nilikua sielewi maana ya kuwahi nashtukia mbioooo,hio siku mpaka aliyewahi akazira na kufuta post yake,cha ubishi akashinda maana post yake ilikua inafuatia ile iliyopata ubingwa
Hahaha ankoo asiione hii ya NyasiJamaniiii mie mkubwa. Nyasi kila kona [emoji23]
JF nilijiunga 2009 au 10 hivi ila sikuweza kuitumia maana niliona ina mizinguo,fb nilikua nayo nikaifuta,ig nayo nilisahau passwrd ukinyoosha maelezo wataelewa na ubuyu ntawaelekeza mbinu za kuupata bila account IGWakiomba hii ya JF utawapa? Utaweza kweli kuwaaminisha kuwa huna online profile enzi hizi....
IG huna akaunti wewe? Ubuyu wa huko huwa unaulaje bila akaunti?
Hahahah hope hana bando muda huu,akija post zitakua nyingiHahaha ankoo asiione hii ya Nyasi
Nakumbuka siku moja nilikuwa naomba kazi fulani kutoka kwa wazungu; nakumbuka walitaka pia akaunti zangu zote za mitandao ya kijamii palepale. Fikiri ningekuwa naweka picha za ngono au za ajabu ajabu; ingekuwa aibu wala kazi nisingepata.
Hahaha hizo nyasi zitatolewa maelezo zaidi ya aya mbiliHahahah hope hana bando muda huu,akija post zitakua nyingi
Enswa...Protini kibao [emoji16][emoji16]
View attachment 1155165