Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kweli malalamiko kibao kama mtoto wa kambo hayatakiwi..... Nasikia huko Nou camp jamaa mgeni haongelewi kabisa mazoezini
Kwanini wamuogope?Wanamuogopa
Mbali na hio. Kuna ndoa za utoton za kutosha ,ukeketaji nje nje na mambo mengi ya ajabu
Atamfunika king waoKwanini wamuogope?
Huyo sio wa kumtilia mashaka mapema sana tunaanza kuona matusi yakeBado bado Ngoja mambo yakianza tumuone, Yaliyomo yamo au ndiyo midabwada Tu
Huyo sio wa kumtilia mashaka mapema sana tunaanza kuona matusi yake
Huyo sio wa kumtilia mashaka mapema sana tunaanza kuona matusi yake
[emoji16][emoji16][emoji16] Moudy Katibu anatupa kideti cha vyuku!
Mwenyekiti yuko juu ya Sheria, hakuna cha demotion hapo! [emoji16][emoji16]
Huyo sio wa kumtilia mashaka mapema sana tunaanza kuona matusi yakeBado bado Ngoja mambo yakianza tumuone, Yaliyomo yamo au ndiyo midabwada Tu