Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inadaiwa mazalia ya samaki yanaangamizwa kiasi kikubwa mpaka samaki wanapata tabu kuzaliana.
Maana watalaam wanasema samaki mmoja ana uwezo wa kuzaa mamilioni ya samaki kwa mkupuo, lakini nyavu kokoro nayo ina uwezo wa kusomba mpaka vichanga vya samaki. Bado kuna baruti na sumu zinazotupiwa ziwani
Tutavionea tu viwanda vya samaki. Kuna uchafuzi mkubwa sana wa mazingira hali inayochangia kwa kiasi kikubwa upotevu wa samaki bora
 
Wanasema ukifanyia reformation mila na tamaduni nuksi na mikosi itazalisha laana, hivyo ng'ombe hawatazaa na wakizaa ni madume dhaifu na pamba na mpunga vitakaushwa na jua.
Mila hizi tulizonazo ni tatizo kweli kweli
Hahahaha Baba ndiyo mwanzo ndiyo mwisho

Baadhi ya tamaduni zinahitaji kufanyiwa reformation
 
Taifa tukufu, la raia watekwao
Nchi nadhifu, ya watu wapotezwao
Serikali maarufu, ya watawala wabezao
Chama ashirafu, cha makada wafurahikiao -
Pale mabaya yawashukiapo wenzao
Wasagwapo kishenzi wapinzani wao
Wao hucheka ’kagongesha gilasi zao
Wadhanivyo, haitafika siku yao
Lakini....
Daima ipo kesho, madhali kuna leo!
 
Duuu sipitagi huko, nitakuja nione povu za wana angalau nicheke.
Ikibidi nami nijimuike kupovuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Duh kumbe,basi waungane na mie kule celebrity forum nikijisikia kutaka ligi naenda chokoza timu domo siku inakua tamu sana hahaha
 
Enzi hizo ilikuwa raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…