Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
 
Hamisi Kilomoni hamtaki mwekezaji mwanahisa kwa madai eti yeye ni mwenyekiti wa Baraza la wadhamini.
Jambo baya ni kwamba klabu ya Simba iliitisha mikutano kadhaa ya kujadili jambo hilo na wanachama walio wengi wamelikubali kwa kura, katiba ikabadirishwa na mwekazaji ameanza kuwekeza.
Baadaye akaamka toka usingizini na kuzing'ania nyaraka za viwanja vya Klabu.
Pamoja na hilo alishaondolewa kisheria kama mjumbe wa baraza hilo tangu mwaka 2017 na msajiri wa michezo alishasajiri wajumbe wapya wa baraza kama walivyopelekewa na Klabu ya Simba. Alhamisi jana amejaribu kuitisha mkutano wa waandishi wa habari kwa kofia uenyekiti wa Baraza la wadhamini wa Simba, polisi wamemdaka
Anadai pesa ama?

Hoja yake hasa ni nini?
 
Suala la kutulia na uliyenaye nadhani huwa la muda furani baada ya ndoa au kumpata unayempenda, baada ya hapo huanza kutoka taratibu.
Mwenyezi Mungu atunusuru na michepuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…