Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hebu tuseme ukweli. Semenya ni demu au ni mkanganyiko? Anagegedeka?Mwanariadha wa Afrika Kusini, Caster Semenya ameeleza masikitiko yake kufuatia kitendo cha Mahakama ya Michezo nchini Uswis kutupilia mbali maombi yake ya kupinga hukumu ya awali iliyomtaka afanyiwe upasuaji wa kupunguza homoni za kiume mwilini mwake.
SafiiLady in red [emoji173]View attachment 1168295
Ni kweli. Wageni walianza kuizengea zengea lakini Jirani yetu akaibuka nayo. Ilikuwa chereko chereko na vifijo kila kona hapa.Shukrani sana Mkuu [emoji1431][emoji1431][emoji1431], nimefurahi kuona namba hiyo imechukuliwa na mmoja wa veterans wa uzi huu badala ya wageni ambao nao walikuwa wanaisarandia hiyo namba kubwa.
Nasikia ulipigwa pin mkuu pole sana na karibu tenaSijui vitaishaje lakini taratibu umma wa Watanzania unaanza kuelewa kwamba huyu mtu ni hatari kubwa sana kwa Taifa letu. Nadhani umeona jitihada kubwa sana mtandaoni za watu kuboycott Voda kwa kuruhusu udukuzi wa mawasiliano ya faragha.
Nyie majamaa nyinyi hamfai kabisa yaani...Tupo bro, kwema?
Hii global warming kama kweli ipo na kama ni kweli maji ya bahari yataongezeka na kumeza vimiji vya fukoni na tuvisiwa basi miji mingi mizuri itaangamia. Hata wenzetu wa Zenj waache kujitenga na muungano wasubiri kwanza angalau kwa miaka 100 ijayo wasikilizie zali la global warming litakavyokuwa [emoji16][emoji16][emoji16]