Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAZINGIRA

Duma hupendelea maeneo yalio wazi yenye majani marefu kidogo. Majani haya humsaidia duma kujificha wakati wa kuwinda. Mara nyingi maeneo haya huwa tambarare ambayo pia humsaidia duma kuona mbali zaidi na kuweza kukadiria umbali aliopo mnyama.
 
SEHEMU WAPATIKANAZO DUMA NA IDADI YAO

Historia inaonyesha kuwa duma walikuwa wanapatikana maeneo yote barani Afrika na sehemu kubwa ya bara la Asia, yaani kuanzia Afrika Kusini mpaka maeneo ya India. Lakini kwa takwimu za sasa duma wanasemekana kusalia maeneo ya Afrika Mashariki, Afrika ya Kati, Kusini magharibi mwa Afrika na sehemu ndogo sana ya Iran.

Mpaka kufikia miaka ya 1900, bara la Afrika lilikuwa na duma zaidi ya laki moja. Lakini kwa sasa takwimu zinaonesha kuwa bara la Afrika wamebaki duma kati ya 9,000-12,000. Huku Iran wakiwa wamesalia duma takibani 200 tu.
 
Nimejaribu kuifuatilia hiyo habari kuu nimeshindwa. Ningependa kusoma hayo maoni ya daktari. Mwezi Mei rafiki yangu alipata kiharusi akafa. Last week mwingine naye huko kijijini kafa tu. Na hawa ni akina baba wenye nguvu wakakamavu mid 40s. Stroke na heart attack siku hizi jambo la kawaida tu. What is going on?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…