Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kwakweli hakuna ugumu bro ni maigizo tu ambayo yana mwisho wakeHata wanaojaribu kuact hapa mwishowe huishia kuumbuka. Imagine mtu unajiita mgumu halafu kila siku huachani na maua waridi, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo. Whai?
Au sijui unajifanya una jimbo la kudumu lakini ukiona jimbo jipya nawe umo kinyang'anyironi. Kha !!!
Be real man...
#NakuaminiaBro
#UnazinduliwaKilaLeoLakiniBadoUnaongezaMajimbo
#Youdaman [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Nimekufuata, nina imani ushakula bata la kutosha mjini.
Sasa turudi tukuyu tukaendeleze kilimo cha parachichi
Kwamba umeinua kipaji changu sio😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣Hahah! Daah
Hapana bro huwezi gombana na Binti mpole maana ni muelewa sana
#Wakatalunyatupopamojanawewe
Ila mzee hizo kashi kashi zote ilikua ni project ya kukufanya uwe real. Sasa hivi nafurahi kukuona unaishi maisha yako halisi humu ndani, niligundua kipaji chako mapema nikasema nifanye vitu kukutoa kwenye maigizo uliyokua unaleta hapo b4........
#Tuendeleekupataburudanihumundani
Umenikumbusha mbali sana enzi zile uzi wetu huu ukiwa mchanga mchanga na cheo chako cha uMaza Hausi. Enzi za Bob 12 (Baba Viv) watu wakigombania kuwa mama wa kambo wa Viv...Nimekufuata, nina imani ushakula bata la kutosha mjini.
Sasa turudi tukuyu tukaendeleze kilimo cha parachichi
Kwani nina nongwa mimi?Nimekufuata, nina imani ushakula bata la kutosha mjini.
Sasa turudi tukuyu tukaendeleze kilimo cha parachichi
Mhola mwanawasuMhola dada?
🙏🙏🙏Nasema kweli. Kwa kukusoma tu inaonyesha siyo mtu wa papara wala kukasirishwa na vitu vidogo vidogo. U binadamu mwema mpendwa Hawachi [emoji1545][emoji1545]
😀😀😀[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwacha ajichanganye. Kitakachompata hatakisahau [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Anonimazi forevaaaa [emoji351][emoji350][emoji350]
Kwakweli hakuna ugumu bro ni maigizo tu ambayo yana mwisho wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🖒🖒🖒🖒🖒
Asavali uuhuuu....Hapana hujakosea mpendwa.
Hahahaha dah sijui baba Viv yuko wapi jamani[emoji13] [emoji13] [emoji13]Umenikumbusha mbali sana enzi zile uzi wetu huu ukiwa mchanga mchanga na cheo chako cha uMaza Hausi. Enzi za Bob 12 (Baba Viv) watu wakigombania kuwa mama wa kambo wa Viv...
View attachment 1175965
Mchepuko wenyewe mbona ulishakuacha, au ulipata mwingine?Kwani nina nongwa mimi?
Hata saa hizi turudi, mimi nitauaga mchepuko wangu kisiri siri ili wewe usijue,sawa mama?
anameremetaa... Anameremetaaaaa... Jirani anameremeta... Anameremetaaaa [emoji443][emoji445][emoji443][emoji444][emoji445][emoji443] arirriririiiiiiii....Leo nina bahati kwa mara ya kwanza Simba ya buyenze ana nisifia shukrani Sana.
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]anameremetaa... Anameremetaaaaa... Jirani anameremeta... Anameremetaaaa [emoji443][emoji445][emoji443][emoji444][emoji445][emoji443] arirriririiiiiiii....