Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kidogo ugombane na bro mkubwa eeeeh !

We "mkorofi" sana...

Ishi uhalisia wako bro na siyo kujifanya eti mpoooole mstaarabu. Mpaka unakaribia kugombea himaya na watu wa welding na mfalme mwenyewe. Hufai bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro, king ananipotosha ila nimeyashinda majaribu.

Ile himaya sikufanya chochote bro, nilimtania king(mwarabu mwenzangu wa pemba----tunajuana)😀😀😀.

Kuhusu kugombana na bro mkubwa, siumeona alitaka nitie neno na leo😀😀😀😀😀.


Natumai siku imeanza vizuri huko.
 
Huku kwema....

#Iamwatchingyouclosely
#UtapataTaabuSanaIndeedWallahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…