Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama wote hawa umewagaragaza, ni haki yako kuwa na ki-balcony mkuuMwisho nimeshinda vita,
Nimehangaika sana na vijana,
Nilianza na kichwa kichafu nikadondosha chini,
Akaja Andjul anaweweseka najua huo ndo mwisho wake,
Kuna mtu anaitwa Uniq alikuwa na roho ngumu sana lakini tunakoelekea hataibuka tena kwani ameanza kuonekana kwenye zizi la mheshimiwa flani,
Wiki jana alioneka mmoja anaitwa bigpapa gari lake likaishiwa mafuta mara kwa mara akiwa njiani kwenda kwa babe s akajitoa mapema!
Kwa nini nisifuge kitambi kwa kuwa njia nyeupeeeee.
Haahahahaaa
Hahahahaha ah......Lengo letu sio K jamani, tupo kufurahishana bila kukwazana, hatuna mshindi hapa. Mimi nimefukuzwa bar na mameneja kwa ajili ya uzi huu, naagiza castle lite masaa mawili haishi, nipo busy na like tu. Saa hivi wakiniona wanakusanya viti vya wazi wanapeleka store.
Sawa kakaKwaherin tutaonana keshe Mungu akipenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwisho nimeshinda vita,
Nimehangaika sana na vijana,
Nilianza na kichwa kichafu nikadondosha chini,
Akaja Andjul anaweweseka najua huo ndo mwisho wake,
Kuna mtu anaitwa Uniq alikuwa na roho ngumu sana lakini tunakoelekea hataibuka tena kwani ameanza kuonekana kwenye zizi la mheshimiwa flani,
Wiki jana alioneka mmoja anaitwa bigpapa gari lake likaishiwa mafuta mara kwa mara akiwa njiani kwenda kwa babe s akajitoa mapema!
Kwa nini nisifuge kitambi kwa kuwa njia nyeupeeeee.
Haahahahaaa
Nakuunga mkono maana nami naelekea kujilipuaNataka kujilipua humu
Yes we can I guess over the weekendMungu Akuongoze. You think we can talk? I know your PM is locked!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyie wote mtakula kwa tivi!
Nipo babe. Hii mijibaba ya hapa ipo desperate inaweza hata kuharibu penzi letu tamu chanuzi. Nikiwa mkali sana basi nisamehe tu lakini nitapigana kufa na kupona ili kukulinda baby. Much love!Babe
Asante sanaDuh! Sasa kama karuka na kurudi hataki? Manati tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeonaaacarbamazepine[emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahahaHangaika na mkeo na michepuko yako. Achana na wake za watu. Kitakachokupata hutakaa usahau !
Kweliii dirty headWageni wenzangu tufahamiane
Nawe pia maana watu mnaaga mara nane nane[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba niwatakie usiku mwema wote wana wa like
AMUN RASana sana
Eti mgeni. Si ajabu umenusa totoz mpya [emoji23][emoji23][emoji23]Hodi hodi mimi mgeni wa humu wote wazima
Amepeleka chai kwa ho chi minh?Mshukuru mpenzio chumbani kwenye halaiki funga mdomo. Then utapata unacho kitafuta