[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Blessed are those who dwell in Your house
They are ever praising You
Blessed are those whose strength is in You
Whose hearts are set on our God....
Babe s kuanzia kesho nakuahidi kitu cha kwanza utapata like 1,000!
Kisha mambo mengine siri yetu
Mwisho nimeshinda vita,
Nimehangaika sana na vijana,
Nilianza na kichwa kichafu nikadondosha chini,
Akaja Andjul anaweweseka najua huo ndo mwisho wake,
Kuna mtu anaitwa Uniq alikuwa na roho ngumu sana lakini tunakoelekea hataibuka tena kwani ameanza kuonekana kwenye zizi la mheshimiwa flani,
Wiki jana alioneka mmoja anaitwa bigpapa gari lake likaishiwa mafuta mara kwa mara akiwa njiani kwenda kwa babe s akajitoa mapema!
Kwa nini nisifuge kitambi kwa kuwa njia nyeupeeeee.
Haahahahaaa
AminaLiko lango moja wazi
Ni lango la mbinguni
Kwa wote wapitao
Watapata nafai
Lango ndiye Yesu bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
Lango ni la mbinguni
Amani ya bwana iwe nanyi
SafiiLiko lango moja wazi
Ni lango la mbinguni
Kwa wote wapitao
Watapata nafai
Lango ndiye Yesu bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
Lango ni la mbinguni
Amani ya bwana iwe nanyi
Ibada ya usiku asante kutukumbushaLiko lango moja wazi
Ni lango la mbinguni
Kwa wote wapitao
Watapata nafai
Lango ndiye Yesu bwana
Wote waingie kwake
Lango lango lango lango
Lango ni la mbinguni
Amani ya bwana iwe nanyi
Kichwa kichafu,tulia...carba hautamuweza huyo...Nimetulia mama ukweli wote nitakwambia.
Wala usilie maana unaniumiza kuona machozi yako niamini.
Umezaliwa kwa ajili yangu mremboTabia ni kama ngozi hawezi kubadilika sasa hivi anajifanya mgeni kwenye huu uzi
Package ikiwa ya kiwangoJe utaweza safirisha nje ya nchi?
Kwanini unapenda sana kukatisha watu tamaa? Ila asante kwa kuntia moyo juu ya cocochanel.Kichwa kichafu,tulia...carba hautamuweza huyo...
Na kwako piaWakuu niwatakie usiku mwema na Mungu wa rehema nyingi awalinde woote na kesho majaaliwa tuamke salama.
Singida na manyara, nitafute nikuungeMafuta ya Alizeti hupatikana Dodoma na wapi?