Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake nyie hampaswi kuogopa kiasi hicho, majukumu makubwa mnayopitia kujaza ardhi hii ni magumu kuliko vyuma vya kung'oa meno
Ni kweli lakini naona kila kitu na wakati wake, nikifikia wakati huo nitapimisha maumivu yake na yale ya jino niliyopitiaga.

Ila usiombe kukutwa na bwana wisdom tooth aliyeeota vibaya 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…