carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]amin ningeAtakae sitili aibu ya binadamu mwenzake basi nae Allah subuhan wa'ataal atamsitili aibu zake..
Tujitahidi kufichiana mapungufu yetu.. Insha Allah
Ijumaa njema!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
#mnaachanalini
[emoji23][emoji23]
Wakishua utaweza kula hashua Temeke?
Bwana weee! Kazi kwelikweli... ntajifunzaaaa
😃 Ni ngumu kujikausha! Haya ngoja nijifanye kama sijaona vile..Mimi mzima pia, kila kitu kipo sawa...bhasi fanya kama hujaona vile [emoji2]
Kwanini ushangae??😁Hahahaha.
Ukishindwa kula Hashua nitakushangaa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitarudi baadae.Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah
Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi
Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo
Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU
Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI
Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira
#SautiInatoshaHukooooo
Anonymous Forever
I'm doing really fine adorable C'ssy.!!Miss you too Sweet thing! uko poa?
Napenda utani woooteee kasoro kulazimishwa couple uwiiiii mnitoe huko. Nipo hapa kula likes tuNitarudi baadae.
Ila sidhani kama haya mambo yapo srz hivyo.Take it easy sis.
Yes.. Niko poa kabsaAm good, hope u too!!
[emoji2][emoji2] hapo sawa Fraggy[emoji2] Ni ngumu kujikausha! Haya ngoja nijifanye kama sijaona vile..
True that.. Yaani mi nataniana na yoyote nnayetaka atakayenuna na anuneeee....Sijui nitumie fursa hii kuondolea machungu ya man u aaah
Uzi mzima kuitana shemeji haipendezi
Huwezi chekeana na coco,king,bradha,ninge,moud,jirani,bro don,mkokaa,yego, etc kwa kujiachia kisa utaboa wa ubavu wao kheeeee acheni hizo
Mada ikikolea unashindwa cheka kwa amani kisa fulani atajihisi vibaya PHEEEWWW NA MTAACHANA TU
Mgeni akiingia tu anaanza kukumbana na vitisho tele kisa watu wanalinda mali zao HAIPENDEZI
Huu uzi ni wa watu wote hasa sie tunaotaka uhuru mkubwa leo nikisema niwe na couple ntakosa LIGI KUBWA KUBWA KISA KILA KONA NAITWA SHEMEJI MARA KINJEMBA HICHOO KINAJISHUSHA KUNIOMBEA MSAMAHA MFYUUUU NTAPASUKAJE Kwa mahasira
#SautiInatoshaHukooooo
Anonymous Forever
Enzi hizoSalaam kwenu wahengaView attachment 1229662
[emoji23][emoji23][emoji23] like tuJamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment