Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ongeza volyumu please. Nakuaminia rolo modo wangu....[emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kwani haya mambo yameshakuwa siriazi kihivyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa shemela wetu yuko wapi kila mtu ana bae wake humu ukinitoa mimi kizee single mama[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa uzoefu wangu hapa JF, ukiona binti anajiita kizee/single mother basi jua kuwa the opposite is true. Si ajabu wewe mpendwa Hawachi ni andaeitini kabisa under 25 kama wenzako humu akina Ninge, King, Depal, Esta, Coco na wengineo [emoji16][emoji16]
 
Huyo ndie jirani yangu nimpendae.. hafichi hisia zake
Numbisa
Na hazoeleki. Ukijilengesha unakula za uso tu we unanuna yeye ndo kwanza anashusha magazeti yake hajali kabisa. Ndo maana nikampa cheo cha urolo modo aisee.

Tuishie hapa jirani nasi tusije tukaishia kula za uso [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kwa uzoefu wangu hapa JF, ukiona binti anajiita kizee/single mother basi jua kuwa the opposite is true. Si ajabu wewe mpendwa Hawachi ni andaeitini kabisa under 25 kama wenzako humu akina Ninge, King, Depal, Esta, Coco na wengineo [emoji16][emoji16]
Mpendwa unataka nidanganye kitu ambacho siwezi,ukweli ni huu ni mhenga mimi.
 
Kwa uzoefu wangu hapa JF, ukiona binti anajiita kizee/single mother basi jua kuwa the opposite is true. Si ajabu wewe mpendwa Hawachi ni andaeitini kabisa under 25 kama wenzako humu akina Ninge, King, Depal, Esta, Coco na wengineo [emoji16][emoji16]
Haha bro....ila ng'ombe hazeeki maini,,atakuwa mhenga kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…