Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
absolutely, mdada mtamu huyu jamani! MUNGU amtunze tu.!Niliona post yake moja kwenye ule uzi. Alishusha kimalkia kitamu sana na mawaidha mazito mno. Yuko vizuri sana [emoji1545][emoji1545]
Kitendo kipi?Wanasema kitendo hicho ni mojawapo ya maajabu makubwa sana hapa duniani...
[emoji2][emoji2][emoji2]#walewanyumahawajasikia
#zilekapohazijasikia
#wataachanatu
Nmeona mahali...tayali imeanza kutokaSeason 2 tayar?
Maana naisubiri vibaya mnoo
Aisee.. Ila sidhani kama hapa kuna usiriazi wowote ule just utani tuWord.
Makapuku ilikuwa ngumu kweli kuingilika. Kila mtu ni couple. Ukijaribu kumtania binti mijamaa inakuja mpaka PM kukuomba uache. It was a dictatorship mpaka mwenyewe nikamwaga manyanga.
Angalizo zuri
Series carbaHii ni movie au series?
Hahahaha hapa hapaUnarudi wapi sasa[emoji1787]
HahahahahaHilo povu la juu nimelipenda
#sautiinatoshakabisailaongezakidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza volyumu please. Nakuaminia rolo modo wangu....[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kwani haya mambo yameshakuwa siriazi kihivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie pia ajuza ujueπππππNumbisa shemela wetu yuko wapi kila mtu ana bae wake humu ukinitoa mimi kizee single mamaπππ