Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ushindweeeee [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]View attachment 1229983[emoji124][emoji124]
Eti mimi na wewe mpendwa Hawachi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwa hiyo wewe na nani niandae kijora[emoji3][emoji3][emoji3]
Washindwe toka lini dada na kaka wakafunga ndoa ya mkeka 😀😀😀Eti mimi na wewe mpendwa Hawachi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Jana mdau mmoja kwenye group letu la Whatsapp la form six aliweka orodha nzima. Nimehesabu wenzetu 15 wameshatangulia mbele ya haki. Nimesikitika sana. Kumbe hata mimi kubakia mpaka sasa ni mibaraka ya Mungu tu.
Halafu binadamu tulivyo wajinga tukitaka kujilinganisha tunajilinganisha na mmoja au wawili waliofanikiwa sana. Sijui kwa nini hatujilinganishi na hawa wenzetu waliotangulia mbele ya haki. Kufanya hivyo kungetufanya tuone mibaraka ya Mungu kwetu na mipango yake katika maisha yetu.
Mungu na Akatusaidie kwa kweli; na hatimaye tukamkumbuke na kutenda yampendezayo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dah taa imenikumbusha mbali enzi hizo Tanga.
Mimi siyo kaka yako mpendwa. Hilo nililikataa mapema sana. Nina dada mmoja tu humu (Kgothalo). Kwani wakitufungisha ndoa ya mkeka kuna madhara yo yote mpendwa.Washindwe toka lini dada na kaka wakafunga ndoa ya mkeka [emoji3][emoji3][emoji3]