Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nyote muna uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kujenga hoja, tatizo lako wewe hupendi kushiriki mara kwa mara kwenye mijadala ndio maana wengi wanakuchukulia poa ila mimi si mmoja wao.
Asante sana. Mijadala mingi JF huishia kwenye kutukanana na ad hominem attacks. Afadhali tu kutulia huku na kula likes na kufurahi....

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Mshana Jr ni level ya Kiranga huyo; na mimi hao siwafikii hata robo. Kila mtu na talanta zake. Cha muhimu tu ni kuzitumia talanta zetu tulizopewa kwa uangalifu.

Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mzee wa urojo huyo mara chai na boflo
Sembe ataipenda sangap
  1. kachori
  2. mbatata za kuchemsha
  3. bagia za kunde au dengu
  4. chipsi za muhogo
  5. katlesi za nyama, mbatata au za mayai
  6. mayai
  7. mishikaki
  8. salad
  9. juisi
  10. maji ya urojo
  11. chapati, boflo, andazi
unakosaje mchanganyiko kama huu kwa siku.
ulishawahi kuwaona wazungu wakila sembe kila siku?
 
Ila wewe lakini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema wadhamini wa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu wanatakiwa kutoa uthibitisho wa maendeleo ya afya ya Lissu pindi shauri hilo litakapoitishwa tena Mahakamani hapo.
_
Lissu na wenzake watatu kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matano ikiwemo kuandika taarifa zenye maudhui ya uchochezi kinyume na Sheria ya Magazeti ya Mwaka 2002.
_
Hayo yamebainishwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya kuuliza maendeleo ya Lissu na mdhamini wake Robert Katula kudai kuwa mshtakiwa huyo bado anaumwa.
_
Baada ya kusisitiza maendeleo ya afya ya Lissu yawasilishwe Mahakamani, Hakimu Simba ameahirisha shauri hilo hadi Novemba 21, 2019 litakapokuja kwa ajili ya kusikilizwa.
#MillardAyoMAHAKAMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…