carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yaan wanahangaika sana na mabango yao ya mchumba hasomeshwi wakati kuna wenzao huko wanalipa ada na pocketmoney wanatoa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseeeh
Ukawe na wakati mwema hapo ulipo[emoji111]Huku salama carba..
Mnyama Mweusi hatari sana
kumbe kuna sembe na dona?
nipe tofauti kati ya vyakula hivyo viwili.
😁😁😁😁Ukweli mchunguYaan wanahangaika sana na mabango yao ya mchumba hasomeshwi wakati kuna wenzao huko wanalipa ada na pocketmoney wanatoa[emoji124][emoji124][emoji124]
Habari ya leo kakaHahaha, salaam dadake
siku watakayorudi hawa watu wawili nitumie ujumbe wa code tafadhali.Na siamini kuhusu BAK na Fragaria maana kuna baadhi ya vitu nina hakika navyo kwao.
Umekula sembe nini asubuh hii??
Maisha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1242856
nasubiria sembe lifike shilingi 3000 kwa kg ndio nitaanza kula.Mkuu karibu Dar tupige dona [emoji23][emoji23]
Maisha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1242856
Dah siku nyingi mno imenitamanisha mpendwa.
Asante sana carba.. Uwe na wasaa mwema piaUkawe na wakati mwema hapo ulipo[emoji111]
vuka bahariDah siku nyingi mno imenitamanisha mpendwa.