Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Respect each other
Show Love to each other View attachment 1243073
swadakta brother, wakati daemusin analichukia sembe basi afahamu ya kwamba kuna wengine chakula aina ya sembe ni muhimu zaidi ya biryani la tausi.

lazima tuheshimiane bwanaaa.
haya team sembe furahini basi kabla sijawageuzia kibao
 
Ndiyo maana huko Zanzibar watu wanafikisha umri wa mpaka miaka 150.
Leo nimeijua sababu[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Nakumbuka ile Lewandowski akitakata pale juu na dimbani anatakata Gundogan, jamaa anaujua sema ndio kama usemavyo majeraha sana
 
Mzee wa Korea embu nisaidie hizo tofauti zake hapa kama hutojali
teh teh
subiri siku nitakayoweka repoti ndio nitakupa tofauti zake.

kwani kumsaidia masikini ni jambo la imani au la kidini?
kuna watu hawana dini lakini wanatoa msaada kuliko wenye dini.
wazanzibari wengi kila jambo jema tunalishabihisha na dini na lile jambo baya tunalishabihisha na ukafiri
 
huyu fala hakuwa na mwanasheria alipokuwa anasaini huo mkataba?
ina maana hakufahamu madhara atakayoyapata pindi atakapositisha mkataba wake?
hakufahamu haki zake na za kampuni pindi atakapoamua kusitisha au kumaliza mkataba wake?
======================================
Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL harmonize amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkataba na Kampuni ya Wasafi.

Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi fm ikiwemo nyimbo zake ,akaunt za mitandao ya kijamii na mengineyo.

Ili kuendelea kutumia nyimbo hizo imemlazima kulipa milion 500, amesema kuwa ameuza nyumba zake tatu na baadhi ya aseti na yupo kwenye hatua za kumalizia deni lake ili aweze kupiga nyimbo zake popote pale.

Kuhusu kugombea ubunge amesema kauli ya Rais ni kama sheria hivyo yupo tayari kutekeleza agizo la mheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…