carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Inna lillah wainna lillah rajiunNipo bro, niliondokewa na mzee wangu mdogo,,
Viko wapi hivyo vinavyoelea bwana wewe[emoji3][emoji3]Umeanza [emoji16][emoji16][emoji16]
Usione vyaelea bro. Naamini tayari majamaa yalishafanya kweli kama sikosei
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha siamini sio kwa furaha ile mpaka carba akapata bahat ya kumuona king laivu
Mzima kabisa,kama bando la halonight
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakishua ni nyie wawili mpo vizuriOngea taratibu wakishua wa ukweli Numby na TH wakitusikia wataona tunawasema
Aisee usiwe hivyo bwana we kuwa siriazi tu huwezi jua uliepushwa na nini kwa hayo yaliyokutokeaHali hiyo ilinifanya niwe na roho ngumu sana ndo maana haya mambo wala siyachukulii siriazi kivile. Liwalo na liwe na kama lipo linalopaswa kutokea na litokee tu kwa kweli...
Ila Karma nayo huwa haina simile. Ukitenda jambo kwa moyo mweupe kabisa, kwa nia ya dhati na njema halafu ukaishia kunguwazwa, wala usighafirike. Mwachie mzee baba Karma. Huwa anajua kunyorosha watu vibaya sana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nizame PMni kwa Carba kama kuko open. The King himiselfu dah !!!
Na hii siyo mara yake ya kwanza kuweka picha yake laivu. Mi niliumia kuikosa ya Lucifer Original dah. Mpaka leo huwa najilaumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] furaha ikizidi inakua ni hatari sana sio siri, nikaona nikate kiu ya Carb
#Kumbeuliona
Aiseh!Miye nilichapiwa mchumba kabisa na mahari nilishapeleka bro yaani kila kitu kiko in motion nivute mzigo. Kumbe mwenzangu akawa bado anaaga aga maeksi wake huko. Tangu hapo nilipoteza matumaini kabisa jumla.
ππ we ndio wale kama kuna safari alfajiri unaona usiku unachelewa kukucha.
Muda ule nilikuwa bored nikawa nahesabu masaa yatimie niprint zangu mahome π
NdiwooUprint
Ukitoka huko uje pm yangu nimuone mkulima wa nyanya na dengu[emoji124][emoji124]Nifungulie PM nikutumie. Kwani mimi najali basi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Usiniambia unapajua hapo? Nakuletea big bomMimi niletee big G
[emoji23][emoji23][emoji23]Kalewa kiepe kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za kupasuka: daemusin kaonekana mahali anapiga sembe kwa dagaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiniambia unapajua hapo? Nakuletea big bom
Asas[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1248171
[emoji39][emoji39]
Pick n pay πMarket zipo nyingi sipajui apoo
Mateee πππAsas[emoji39][emoji39][emoji39]