Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
ππHii abari sijaipata mapema[emoji19] kesho nayo siku
Andaeitin rudi ukalale
Hahahaha..Andaeitin rudi ukalale
Hakika Ses na ndio sababu nikiwa sina wateja kwenye kibanda changu nakuwa nachungulia huku saa zote. ππππSawa kabisa Shadeeya pilika za kazi hazizuii kuingia JF kujumuika na wananzengo, kusoma maoni ya watu na kutoa maoni yako huku kazi na vikao vinaendelea kama kawa, maisha ukiyafanya rahisi yanakua rahisi tu mamii
Eti eee!! Ndio sababu nasikia eti haujui kitufe cha kulog out kinapatikana wapi π ili kupata rahisi ya kuchungulia Jf pindi nafasi inapopatikana. π.Sawa kabisa Shadeeya pilika za kazi hazizuii kuingia JF kujumuika na wananzengo, kusoma maoni ya watu na kutoa maoni yako huku kazi na vikao vinaendelea kama kawa, maisha ukiyafanya rahisi yanakua rahisi tu mamii
Niko ndo kz yenyewe....usiseme a jpmNisaidieni, najiuliza sipati jibu
Ndo maisha iSure, halafu utatukuta tunajiachia kwenye Celebrity forum kuponda kwamba Ali Kiba hana utajiri, Diamond hajanunua nyumba fulani, nk.
Hapo wengine tumeingia kwa freebasics.