myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππππNitamwaga mchele kwenye kuku wengi ili mada zako kuhusu Ugali zife kabisa kwanza nimemuuliza yule mtarajiwa wako kanambia leo kakupikia ugaliπππMbona unanitetemesha?
Asante tumepoa.Poleni wakulima wote
mzee wa pole ameingia.Poleni wafanyakazi wote
NGOJA NIBONYEZE KITUFE CHA LOG OUT.ππππNitamwaga mchele kwenye kuku wengi ili mada zako kuhusu Ugali zife kabisa kwanza nimemuuliza yule mtarajiwa wako kanambia leo kakupikia ugaliπππ
Ndio maana amekimbia humu ndaniBAK kahamia Ccmπ²
Habari zako ninazo ujue ππππNGOJA NIBONYEZE KITUFE CHA LOG OUT.
wewe TIIIIIIIIII UNANITAFUTIA BALAA NA SIKUJUI UNAPOISHI
Siku njingi mno akuje hata kama yupo CcmNdio maana amekimbia humu ndani
π€£ π€£Acha maneno weka basi recipe nyepesi ya keki,tuache sembe tuhamie kwenye keki
hizo habari naomba uzihifadhi mpaka usiku tafadhali.Habari zako ninazo ujue ππππ
swadakta brother.Kila mtu ana umuhimu wake...