Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona unaforce mwaliko, nani alikuambia mialiko uwa inafosiwa hivyo? Kama umesahaulika we kula zako sembe na maji ya mto wa mbu ulale.

Muda wa likes ni wa likes na kuna muda wa chakula na familia.
Mambo yanakwenda kwa ratiba we mkorea kwani hujui?
 
Wewe Kichaa umesharudi sasa kelele zimeanza tena, naona na wewe ulipokonywa nywila na watoto wa Kizenji waliojinakshi kwa michoro mwili mzima....

Karibu tena
hivi mjomba messi huwa anafanya mazoezi wapi ya kupiga free kick?

nimeona nibadili mada baada ya kushuhudia povu zito la sabuni ya foma gold kutoka kwako.

hivi una undugu na khadija kopa?
 
huyo davet anapenda timu zile zenye wachezaji mahodari.
inaonekana moyo wake ni mwepesi kuliko karatasi.
tafadhali dada happy usije ukamtia presha huyu fala kutoka mbeya.
atakuja kufa na makalio yakiwa juu kama kifo cha mbuzi meeee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe boya umenichekesha sana leo ila kabla sijasahau 'fala mwenyewe'
 
basi harusi yako sitokuja.
full stop.

hiyo ratiba mbona hawachi hajanipa?
au muna bifu na yule mngazija wazee wa ngoma za ajabu ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…