Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

labda ni usajili wa muda mfupi ili kuongeza uzoefu kwa safu ya ushambuliaji.
eneo muhimu zaidi ni kiungo mshambuliaji ndilo analopaswa kulifanyia kazi dirisha hili.
tatizo letu kubwa hatutengenezi nafasi za kutosha
So true,
Wacha tuone anatufikisha wapi.
Taarifa ya Waarabu umepata? Ni kweli wameuziwa Team??
 
Wewe kiboko. Hata Moud cha mtoto. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ejooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka nindali Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekuja?????
Leo nataka nikuone ukitoa machozi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii ni Liverpool bhana...huwa sibahatishi kwenye mambo yangu[emoji1787]
 
moudgulf njoo uniokoe kamanda. Hali tete huku [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…